Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,134
- 126,435
Hahahaaa. Mshenga mie keki nakula kila ninapohitaji. Ila si unajua za birthday huwa zina upekee.jahahahah.
pole mwali.
me nilisema hivyo coz dizain flani Kama ulikua unataka keki
Hahahaaa. Mshenga mie keki nakula kila ninapohitaji. Ila si unajua za birthday huwa zina upekee.jahahahah.
pole mwali.
me nilisema hivyo coz dizain flani Kama ulikua unataka keki
hahahahah.Hahahaaa. Mshenga mie keki nakula kila ninapohitaji. Ila si unajua za birthday huwa zina upekee.
Ewaaaaaaaa. Mshenga itabidi unipe nusu na robo bwana. Hahahaaa.hahahahah.
naamin.
itabidi ya kwangu ikifika nikukatie nusu nzima ule peke yako