Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,668
Guys! leo ndo nimezaliwa jamani 2* years old.
Kwa kweli siku ya leo nilivoamka nikajiskia kabisa nimeongezeka umri.
Changamoto zinazokuja kwa umri kusogea ni kubwa mno. Kwangu mimi na hata vijana wenzangu tuliopo kwenye 20's.
-- Kuna suala la kuanzisha familia
-- Kujijenga kimaisha/kutoka kimaisha at least uonekane na wewe ni mtu katika jamii.
-- Kuimarisha mawazo yako na itikadi zako juu ya maisha ili baadae na wewe uweze kuwa mtu wa kuja kutoa mawazo na ushauri.. Busara ya uzeeni haiji siku moja naamini inatoka na namna ulivoyaishi maisha yako ya ujanani na namna ulivotatua changamoto zako.
Baada ya kusema hayo nawashukuru wazazi, ndugu, jamaa, marafiki na jamii nzima ambayo imenifanya mimi niliye siku ya leo.
Usia wangu kwangu, wengine waliozaliwa leo, na vijana wenzangu...
"IT IS NOT DEATH THAT THE MAN SHOULD FEAR, BUT HE SHOULD FEAR NEVER BEGINNING TO LIVE"
Keep the fighting spirit alive!
PERIOD!