tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 62
Dears!
Leo ni siku yangu ya pekee ya kujidai ni siku ambayo nilikuja hapa duniani! Namshukuru mungu kunifikisha miaka kadhaa...
Namshukuru mungu sana kwa huu uhai alionipa kweli najisikia furaha sana...Mungu endelea kunipa afya njema hata niwaone na wajukuu na vitukuu pia...nikinge na majanga yote ya hii dunia ya sasa!...kwa sababu adui ni wengi na wako kila kona! wakihitaji roho zetu tena kwa nguvu..
Pia katika siku hii yangu ya kuzaliwa ombi langu kubwa kwa mungu Naiombea Nchi yangu ya Tanzania Amani...
Karibuni kwa wishes zenu....
Loveeeeeeee you all! Happy birthday to me!!!!!!