ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,116
- 5,370
ni zaidi ya miaka 20 tangu nizaliwe(aged but still a young).. namshukuru Mungu kwa kunilinda mpaka siku ya leo tar 9/9 licha ya changamoto mbalimbali za kimaisha..
Nimekuwa member ya jf kwa mda sasa na sijawahi kukwaruzana na mtu humu(kama yupo atoe ushahidi) so nikiwa humu naona ni kama niko na marafiki ndio maana nimeona si mbaya ku-share nanyi furaha yangu.