ilipendezaaaaa......hahahahaha nini kunywa hadi ulale kwenye meza kama sio Nicas Mtei ooooohh
Blaki Womani mi sio mzamiaji coz nataraji kukaa Haitebo na mtoto wetu mpya..
Halafu namtafuta sana Kipipi kanitoroka hotelini
Ulevi noma
Sa kumbe unajua.....kwanini huachi kulewa?
Hivi tumesalimiana leo wifi
Mwaaaaaaaaaaaaaalimu!
lol! ningekuwa sikupendi ningekuacha uendelee kupigishwa kwata na Vin Diesel mzee wa wanawake mia.