Hard to kill, nikiwa mdogo nilikuwa naipenda sana ile movie. Nikikuta cover lake tu wameweka kwenye kibanda umiza(Video show) lazima nifanye kila namna niione.
Na hasa nilikuwa napenda ile scene ya Hospital alipokuwa anajinasua asiuliwe na yule jambazi aliejifanya Daktari.