Usitatizike mshikaji wangu
sosoliso, halafu mwenzio nina kipaji cha ajabu sana, tena cha hali ya juu, eti napenda kuona watu wakiachana na wa penzi wao. Natamani sana kuona
mwaJ na
Mwita Maranya wakiahana, wewe na
Paloma mkiachana, halafu mi naishia tu kufurahia, wala sina time na wanawake zenu.