Happy Birthday Sosoliso........!!!


Ahsante sana Arushaone a.k.a presidaaa wa Ar..
 
Last edited by a moderator:
haaahahahahahhaaaaaa mm nimeangalia hiyo avatar yako kisha nikaanza kufuatisha mchoro kumbe ulitaka nikuchore picha originale basi tusibiri nikikuona tena nitakuchora ondoa shaka best
hahahaaa.............haya bana.........ila huo uso wa rectangle bestito hata sio wangu!!!
na nywele zangu si unazijua lakini...........au ushasahau style!
 
sijui sijakosea hapa kwani nimebuni kichwani mchoro huu nikavuta hisia kali za mbali

sana ndo ikawa hivi bestito Paloma km nimekuona kwa karibu hapa hebu cheki unambie

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…