Happy Birthday shem
sosoliso Mungu akupe afya njema na uimarike zaidi katika kazi zako ziwe za mafanikio
ila usipende kubadilika badilika like this :A S 2152: pokea kazawadi kako kadogo ka kumbukumbu ya kuzaliwa kwako bestito
View attachment 121137
Je unataka nawe shem nikuchore kama huyu mchekeshaji?
halafu bestito
Paloma kwanini unakuwa na utani unaopitiliza weye mamito sasa ndo nini kutype hivi miss
ladydoctor ladyfurahia bro
mentor......... na wapendwa wengine..... Punguza baby hivyo vituko vyako.