Asante sana, sidhani kua nilizaliwa kumoderate, nilizaliwa kukutana na marafiki, all the friends that you are. Pia nimebadili jina, kila saa watu walikua wanatuchanganya.
..
View attachment 60675
Nitamleta....but yeye anatumia hicho kinywaji hapo juu. Vinapatikana kwa wingi?
Thank you so much Shem, you are the best!Wow....Welcome back Roulette, hatimaye sasa umetolewa public walau wakuone na watu wengine....mwah...
Unajua nimerudi post zangu na nimekuta kweli sijakushukuru... I am sorry dear, sijui imetokeaje. Thank you soooo much my dear ODM. Kama nilivo kwambia siku ile wether you like it or not I have auto-procvlamed myself "best friend of ODM" sasa sijui nilisahau vipi. hahaha
Yeah, kuna ambao wananiita R, wengine wanasema "single R" but I think "roulette" is not that long... bora tu roulette.Sasa umekua mkubwa fasta sana....hope BD ilikua bomba...like you!
Kwa hiyo sasa hivi wanafupisha kukuita single R? :wacko:
Yeah, kuna ambao wananiita R, wengine wanasema "single R" but I think "roulette" is not that long... bora tu roulette.
Umeona eh? You are a good girl. Umesamehewa zambi zako zote mpaka za kesho.Thank you so much Shem, you are the best!
Unajua nimerudi post zangu na nimekuta kweli sijakushukuru... I am sorry dear, sijui imetokeaje. Thank you soooo much my dear ODM. Kama nilivo kwambia siku ile wether you like it or not I have auto-procvlamed myself "best friend of ODM" sasa sijui nilisahau vipi. hahaha
Vijana wana hangover, nshacheki na Asenga ndo anamalizia kuchuna mbuzi.Iko mingi sana...ni sawa na kwenda kwa baresa na kuuliza kama atakuwa na sikirimu kwa wingi! kamati ya matumizi ya sherehe bado ina alot of drinks hadi chai kwa ajili ya ustaadh Rejao kuanzia saa moja jioni ipo
Ila vijana wangu Erickb52 na platozoom wao wana booze tangu mapema chini ya aungalizi wa Asprin.
.....na ushacheza hiyo russian roulette?
my dear nakutakia kila jema maishani,
nakutakia, nguvu, baraka na mafanikio
kwa kila ufanyalo, nakutakia kheri ya
kuishi miaka mingi mpaka uone vitukuu,
nakutakia baraka zote zitokazo kwa Mwenyezi Mungu
I just wanna say Happy Belated birthday hun. Roulette