Ahsante sana miss neddy, ila bado ile ishu yetu aise.
Ahsante sana miss neddy, ila bado ile ishu yetu aise.
hahaha hujasahau tu
Ishu gani hiyo unayofanya na mdogo wangu?
hahhaha kumbe upo around eeeh
Si unajua abiria chunga mzigo wako.....lol.Ila wewe nakutrust maana najua itakua ishu ya pesa
hahaha mimi siwezi kukuzunguka my dear lol
Najua my dia.Vipi mkurya yuko poa?hasira zimemuisha?
yupo anakusalimia
Ya kwako
No am nt ok Rogie nataka keki
Honey Faith nitumie DHL kwenye address hii hapaNipe address yako ili niweze kukuletea