Happy birthday Rogie !!!!!

Happy birthday Rogie !!!!!

Munkari mafuruku kunimention ile kesi haijaisha bado sikupendi
 
Last edited by a moderator:
Team B imeanzishwa lini?

Naona mwenyechea kakanusha thausiki hapo juu...teh teh!!!

Sijui imeanzishwa lini ila 2013 ilikuwa maarufu sana hapa jamvini.Ila nawajua baadhi ya member wake......lol
 
halafu watu humu mnajuaje birthday za watu au mnaelewana,maana sidhani kama JF huwa inaonyesha birthday

Hahaha swali zuli sana!!! mbona kuna Uzi humu wa birthday em utafute!!!!
Uweke na tarehe yako kabisaa nawewe tukubandike ubaoni
 
Mi mwenyewe niko None Aligned Movement...sifungamani na upande wowote!!!!

Hahaha wacha kujifanya historian kutuzuga wewe no typical teamB ngoja katibu wenu aje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom