Ni kama kaka kwangu,rafiki yangu,mshauri wangu,mtani wangu na zaidi ya yote ni mume wangu(hapa hadi mwili umesisimka......lol).Nakutakia maisha mema na yenye baraka tele na Mwenyezi Mungu akupe kila lenye kheri katika maisha yako my dia.Happy birthday my lovely husband Rogie
Ooops what a romantic message !!! Rogie
Leo lazima anenepe!!!
Hahaha!! haya ngoja tumsubiri akuje huyo mwenyechea...
Haya tumsubiri...afu nakutafuta asee
Happy birthday brother Rogie mungu akujaalie usiwe maisha marefu na yenye furaha
Haya tumsubiri...afu nakutafuta asee
Mnaongelea nini mbona siwaelewi!!!!
halafu kamwambie miss neddy jinsi navyompendaPoapoa