Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Hahaha wacha kujifanya historian kutuzuga wewe no typical teamB ngoja katibu wenu aje
Rudi nyuma yangu shetani...
Hahaha wacha kujifanya historian kutuzuga wewe no typical teamB ngoja katibu wenu aje
As you celebrate today,
May your heart be filled with happiness and joy.
As you look ahead to
tomorrow,
may your deepest
hopes and dreams come
true for you!!!!
HAPPY BIRTHDAY!!!!!!!! Rogie
!!!!!!
Bon anniversaire!!!
Har den aran!!!!
iFeliz cumpleanos!!!!
(Team B mpo??
Kwa hisani ya babu Asprin
Upo ?(Nimekumis balaa chap chap sana..) Mentor watu8
( nyie mpo kundi gani?) mwekundu(bazazi lenyewe hili) Rutashobolwa(akanana jinalako gumu bana) Isumbwile
( umepotea broder) Mndengereko
(Usikose kuja na ngoma asee)
Hivi hakuna MAMAzazi????hahaha ..(msiniquote)
wapi..... charming lady Elizabeth Dominic mango d miss neddy Heaven on Earth
Uwiiii!!!! Njia kuu mwenyewe, mke, mamaa Rogie
,Malkia wa malkias,
Mtawala,ubavu,mama watoto,msweety wake,mbeby!!! loooh ntajaza seva mnataka kumjua????? Hahaha subirini party two.... Honey Faithhhhhhh
Njoo ukate keki huku..
Haya jamani tupambe na kusheherekea.....!!!!!!!
Yani unataka kuchepuka huku mumeo anakuona astaghafululah!!!
happy birthday kaka..
Njoo huku gizani nikutajie hapa naogopa kurushiwa mawe.......lol
naja chap chap...
Fanya fasta sasa usinicheleweshe
hahaha...:busu:busu
Happy birthday to you dear
Mbona haujaja kula keki dada yangu mpendwa?But nimekubakizia kipande chako na cha shemeji
Nilibanwa mdogo wangu...kesho tutakuja ...
Poa itakuwa vizuri sana maana nimekumiss sana