johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,599
Mnafiq mkubwa wewe team legacy.Mungu wa mbinguni azidi kukubariki na kukuzidishia Tena na Tena Nguvu zako za Mwilini na Rohoni
Ubarikiwe sana
Happy Birthday Rais Samia ๐น
Naona unatafuta ugomvi na chawa Lucas Mwashambwa,amejipinda anaanda gazeti la kumu wish mama yake halafu wewe unaandika mistari miwili tu na kumpiku. Amechukia sana hadi anabubujikwa na machozi ya uchungu.Mungu wa mbinguni azidi kukubariki na kukuzidishia Tena na Tena Nguvu zako za Mwilini na Rohoni
Ubarikiwe sana
Happy Birthday Rais Samia ๐น
Na ilaaniwe siku aliyozaliwa muuaji wa kikeMungu wa mbinguni azidi kukubariki na kukuzidishia Tena na Tena Nguvu zako za Mwilini na Rohoni
Ubarikiwe sana
Happy Birthday Rais Samia ๐น