🤣🤣🤣 Si alisema msidhidishe bia mbili?!!juzi juzi alisema msinywe maji mengi kupita kiasi bila sababu 😂😂😂
nipo nawaka time hii na mitungu na Hana cha kunifanya 😂😂
Katibu Mkuu Mteule CCMLeo ni siku ya kuzaliwa nguli wa Tiba za kisayansi za mwili wa binaadamu hususani moyo na figo si mwengine ni professor MOHAMMED YAKUBU JANABI
LONG LIVE MZEE you really helped our country and society
Tunakupenda Sana professor Janabi
Happy birthdayhope
![]()
Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
UkorooooofiHappy birthday Prof
Umri ngapi?Leo ni siku ya kuzaliwa nguli wa Tiba za kisayansi za mwili wa binaadamu hususani moyo na figo si mwengine ni professor MOHAMMED YAKUBU JANABI
LONG LIVE MZEE you really helped our country and society
Tunakupenda Sana professor Janabi
Happy birthdayhope
Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app