Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
- Thread starter
- #281
Am back shemela..Finally u'r back shemela![]()
Am back shemela..Finally u'r back shemela![]()
mmmh!....inawezekana au isiwezekane!

Kwakweli hii ni zaidi ya kusudiAsante mpenzi wangu.
Nimekufanyia kusudi nami nimechelewa kujibu hahahaaaaa...joke.

Am humbled !Nimeshampokea kaka,halafu huwa mimi nae tunapendana sana.
Ni baraka nyingine ktk family yetu.
Mahaba mubashara hayaHahahaaaaa shemeji yako ana hatariiiii,sio kwa maneno haya.
Ndio maana nanenepa kila siku.
Si anawwza akajifanya anaona mke wa pili.Thubutuuuuuu,naanzaje kuachika sasa?
Na unanisahaulisha haswaaaaa...Namsahaulisha asijeleta mwenza hapo baadae![]()
yani hapo nimepashika fastaaaaa... Panakuhusu sanaaaaUwiiiiiiiiiii kumbe umeshaushika mistari yake kichwa?![]()
![]()
Ila kwanini hapo tu?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Ahhh nakukubali Sana mkuuyani hapo nimepashika fastaaaaa... Panakuhusu sanaaaa![]()
![]()
"mwali fundi akizungusha mashallaaah.."
Awwwww 100% you![]()

Mmeanza kufukua makaburi?Ahhh nakukubali Sana mkuu![]()
![]()
WEWE NAWEAhhh nakukubali Sana mkuu![]()
![]()
Mh! Kwani vpWEWE NAWE
