johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Usijali ndo saini ya kukubali hyo, mwanzo mgumu siku zote hebu kunywa maji je hunioni kwenye glass?Mmh johnson wewe... Mbona moyo wangu unakua mzito kukubali sasa
Usijali ndo saini ya kukubali hyo, mwanzo mgumu siku zote hebu kunywa maji je hunioni kwenye glass?Mmh johnson wewe... Mbona moyo wangu unakua mzito kukubali sasa
Haha Vale dear, puliiiiz. Hadi nafsi inanisuta ujue, will get back to you ASAPHeiyoooo murembo...
Ila bado nimekununia tu wewe. Nibembeleze![]()
Naona giza tu kwakweli mimiUsijali ndo saini ya kukubali hyo, mwanzo mgumu siku zote hebu kunywa maji je hunioni kwenye glass?
hahha utaijua tu siku ikifika... lazma nkwambie!!!Haha you don't have to copy bana. Ninong'oneze tu tarehe yako then wait. BTW umemissika haswaaaa
C'monNaona giza tu kwakweli mimi



anyway ngoja nikupe muda utafakari kwa amani kabisa, Teh haya, tuombe tu uzimahahha utaijua tu siku ikifika... lazma nkwambie!!!
umemissika mnoo... kule sikuoni 😳
Ha haa umenikumbusha,I wish Nifah atwambie ilichukua muda gani kumkubalia The bold...C'monanyway ngoja nikupe muda utafakari kwa amani kabisa,
yote nataka uamini kama umekutana na super man mzee mwenzie acha nikumbukie enzi zetu tunatongoza miaka 3,
Ndivyo waoaji wakweli huwa.
Hahahaaaaaa si umesema umenyooka wewe?
Au ndio tuseme jasiri haachi asili?
Hahahaaaaa cake ipo mpendwa,wewe tu jipange kuifuata
Ameeeen,nashukuru sana dada mpendwa.
Muulize ww, naanzaje kumuuliza mdogo wangu masuala kama hayo?Ha haa umenikumbusha,I wish Nifah atwambie ilichukua muda gani kumkubalia The bold...
Hebu muulize basi
Alafu usichange gia angani, mada ya kwako hii,Ha haa umenikumbusha,I wish Nifah atwambie ilichukua muda gani kumkubalia The bold...
Hebu muulize basi



Tena usipomuuliza ndo sikukubalii kabisaMuulize ww, naanzaje kumuuliza mdogo wangu masuala kama hayo?
Tena usipomuuliza ndo sikukubalii kabisa



dah huu sasa mtihani, ngoja nimuulize shem ndo rahisi kwanguHaya nasubiri jibudah huu sasa mtihani, ngoja nimuulize shem ndo rahisi kwangu