Happy Birthday Nguruvi3

Kule ni poa sana ha ha ha. Mimi nakuita stress free zone au free ride. Kasheshe MMU. Mara waseme kaka kawa kaka-mkwe halafu wanamnanga Hamad(32) akiwa na bibi(80)
Hayo majukwaa yote ni stress zones maana siku hizi m.m.u nako mada zake ni full stress...
 
Hii keki lazima itakuwa imetengenezwa old Korogwe karibu na liyokuwa C-LAB. Kama si old Korogwe itakuwa kwa Mdulu.
Nimeipenda, thanks kokutona

Umekosea bhanaaa imepikwa Korogwe girls kwa mama semkiwa, wakujua?

Enjoy mkuu ni vere delishaz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom