Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,608
- 64,455
yuuu, mtoto umezaliwa na kusema leo leo?
Thank you ... halafu naogopa kusema semu tu yuuu
Thank you ... halafu naogopa kusema semu tu yuuu
Happy birthday mkuu Ngalikihinja GOD bless you.
yuuu, mtoto umezaliwa na kusema leo leo?
Vantine, seriously will PM you on this.. YAANI.. I'M CONFUSED... WALLAH NAKUANDIKIA PM
Hahaaa zipi hizo
Uwiii umezaliwa leo leo afu uwe comfused...taratibu we mtoto utasabisha wonders lol
Kaka, kaka....nisamehe kaka.
Unajua hiki kijiji kikubwa sana, basi twapishana tuuuuu.
Tuko pamoja...nasubiri mualiko wa tour!!!!...:sleepy::sleepy::sleepy:
Vantine, seriously will PM you on this.. YAANI.. I'M CONFUSED... WALLAH NAKUANDIKIA PM
Vantine, seriously will PM you on this.. YAANI.. I'M CONFUSED... WALLAH NAKUANDIKIA PM
Kheee.... Kwa hiyo ulitaka nikutongoze wewe..??? The fact that you are my type... Kutongozwa subiri kule unakoniwekea keki....msitongozane tu huko...
Au nami nije kuchungulia?