Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,756
- 2,054
Happy birthday nameless girl
Last edited by a moderator:
sijui kwanini nakuwaga na wivu mpaka kwa ndugu zangu, hasa Kaizer. yani ni sheedah!!!
Happy birthday mumie.Naomba unibakizie keki
Happy birthday nameless girl
Haina neno....mi nshajifunza kama nauza utumbo nisiogope inzi
Teh teh kuna mi inzi mingine ya kijani looooh
Bado ni inzi tu..mi ngoja nibembee na bday gal Nameless gal na masai dada lwa pembeni....
Duuuuu... unataka tubembee na bembea ya aina gani? Zile wanazofungia matairi ya gari nina allergy nazo mkuu..
Bado ni inzi tu..mi ngoja nibembee na bday gal Nameless gal na masai dada lwa pembeni....
Hilo ni jibu, uliza swali sasa!kwaiyo unataka kuwa mchepuko dogo dogo?
Hilo ni jibu, uliza swali sasa!
Hahahaaa..sio izo..unaifahamu "see saw"?
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako...
"See saw" masai dada...come zis way chap chap sana
Please my dia babu come this way halafu uje without ili tuokoe mda