Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,415
Nimejikuta tu,napita hp naelekea kolweziUnaenda wapi tunataka zawadi
Nimejikuta tu,napita hp naelekea kolweziUnaenda wapi tunataka zawadi
Kwa kweli ziwe nyingi nyingiMahela yawe mengi mengi sio nafunga safari napewa mahela kiduchu
Hahaha kwan ulokole ndio genye hazipandi??Jamani mbona niloshaedithalafu unajua mm ni binti mlokole
Eeeh. Ntakutambulisha shem wako wa dhahabuUmeshapata mchumba eenh
Hiyo mama wa gambe sijaipenda Hazard mfyuu. Unachelewa sasa kuniupgrade kuna mwenzio anakaribia kumaliza mambo. Asante rafikiHappy bday mama lamama,toto la kizigua,mkali wao,mama wa gambe,bae no 1(nafikiria kuiupgrade![]()
![]()
![]()
), uishi miaka michache yenye furaha,amani na upendo..miaka mingi ni kutesana tu
Happy bday my dia
Kafichwa na NeyIceman kawa bidhaa hadimu sana hapa mjini kila mtu anamtafuta bila mafanikio sasa tuache tu siku akiwa fresh atakuja
Ney kiboko kwakweliKafichwa na Ney
Eeeh. Ntakutambulisha shem wako wa dhahabu
Na cake tu na mishikaki!Hahaha ila una shida na zawadi au
Hahah!!
hahahahah, si ajabu nimekukumbusha Da Mange hahahahahahaAsante. Umeniita da mzigua umenikumbusha mbali
Asante mpenzi. Japo nazeekaHongera kwa kuongeza Mwaka Kaa mwenzangu, Mungu azidi kukutunza.

