wacha kabisaa, kwa miuno ya kingoniKaka halafu we muhuni umenikumbusha club hiyo nyimbo ikipigwa hakukaliki
diamond anajua tunataka nn wakina sisiinama inamaKaka halafu we muhuni umenikumbusha club hiyo nyimbo ikipigwa hakukaliki




Hahaha we mtamu acha kubishaamm nakwambia ukweli nakutengeneza kisaikolojia ili usipate stress utakapokutana na shunie og hutaki
Kweli kwa style ya majibu haya MTU,uende si unafukuzwa na kijizawadi chako ?haya siku njemaHapo katikati
Hahaha kweliSema kweli jamani unanijaza mpaka nataka kupasuka
Habari gani tena hizo?Hapana wewe ndio umeleta hizi mambo hata ukiambiwa uje utaanza mambo yako toka ulivyoanza habari zako zile acha tu