Mfyuuuu ndio mana niliogopa kuja pm kwako kila mtu unawish tu
Hahaha, we si ndio dau linaanzia $ 500? Mko juu $ 100 × 2300 = ? Dah kweli bongo uchumi umekuaMm nakuja kuzichukua zifike zisifike nachukua
Karibu sanaKweli eenh nitajitahidi tena jamani nione kama nitaweza kuja
mumu njoo uchukue zawadi ya wifi yako niko hapa karibu na kwenuMimi niwe mpole mimii
Hahaha alfu mimi sio muhuni sema naongea sana vitendo zeroSio punguza wivu upunguze uhuni ndio mana sakayo kasusa huku kurudi
We jishaue tyuuu..mxieww...unajiamini kwakuwa ww ni mod nikiweka tuu nakula banwewe ni fwala wekaaaa
Sakayo kapata mkenya huko asilete visingizio vyakeSio punguza wivu upunguze uhuni ndio mana sakayo kasusa huku kurudi
Jamani hutaki tena?Sitakiiii