Happy birthday my Dear Ram!!!!

Happy birthday my Dear Ram!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
birthday_quotes_010.jpg

0_birthday_girl_cake.gif

May your birthday blossoms into
lots of dreams come true Baby ram

C.C. Mwenyekiti JF Rock City Wing Rock City, members wote Home First, Elizabeth Dominic, ThinkPad, Gedeli, beibe nasty, TrueLove, Mlezi wa Wing Arushaone, Kaka wa Wing Kaizer na wanaCC wooooooteeeee.......
 
Last edited by a moderator:
Haooy birthday ram! baadaye level 9 pale kama kawaida! au sio charminglady!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
siku ya leo wengi wamezaliwa
hongera sana ram Mungu akupe maisha marefu na afya njema

happy birthday
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Glory to God!

Jamani nawashukuruni wote kwa kunitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa, sifa na utukufu apewe Mungu aliye juu, ni kwa neema tu hata sasa niko hai.

Kipekee namshukuru mamangu kwa kunileta dunia tarehe kama ya leo miaka kadhaa iliyopita, amenilea na kunikuza vema hata sasa nami naitwa mama. Ahsante mama, Mungu aendelee kukupa pumziko la amani huko ulipo......amen!!!!

Ahasnteni sana wana JF kwa ujumla na kipekee JF Rcky City wing, Mungu awabariki sana

EBENEZER........
 
Amen ram
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
happybirthday to u ram
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom