Leo tarehe 20 November!
Ni siku ya furaha sana sana!
Mpenzi wa moyo wangu shansarie anatimiza miaka kadhaa..
Honey!
Umepitia mengi katika haya maisha ya duniani, nakupongeza sana kwa kuyakabili magumu yote na kuzidi kusonga mbele.
Mungu awe na wewe siku zote..
thankx my love kiwatengu for the wishes, you have been part of this journey till today
thumbs up kwako kwa kunijali na kunipa furaha kila siku iitwayo leo
your the best thing ever happen to me
MUNGU akupe maisha marefu yenye mafanikio, akuepushe na maradhi na maadui. Mpende sana mumeo ambaye ni ndg yangu kiwatengu, pia mjaaliwe familia bora yenye furaha! AMEN
Happy birthday my dear shansarie uwe na maisha ya furaha na amani na Mungu awe kati yenu sikuzote akuepushe na kila baya la dunia hii akujaalie mema katika maisha yako yote na Mumeo kipenzi kiwatengu.