Happy birthday me

Happy birthday me

Miaka kadhaa huko nyuma mtoto wa kiume alizaliwa na kwa uwezo wa Mungu hadi leo anaendelea kupumua,happy bday to him.
Namshukuru sana Mungu kwa hapa nilipofika,mama yangu and my late father,ndugu na friends wote especially Jamii Forums. Naitumia siku ya leo kutafakari maisha yangu huko kote nilikopitia,kubwa zaidi nililopanga ni kuendelea kufanya mchakato wa kubadili maisha yangu,yawe mazuri zaidi kimwili na kiroho.Amani na upendo,kusimamia haki na demokrasia,ukweli na uwazi daima vyote viwe nguzo imara katika maisha yangu.Thanks again wana JF kwani tangu nimejiunga hapa 2008 nimejifunza mengi sana na nimetoa yangu japo bado nadaiwa zaidi. ALL THE BEST washkaji.
Cc. Invisible Madame B Arusha one MziziMkavu , Ben Saanane ZeMarcopolo Bishanga Passion Lady Erickb52 Baba V...na @wadau wengine wote

HBD mkuu ray05, be blessed live to blow a hundred candles..!!!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kaka,

Haya tutajie mvua ngapi umevuka ili tuhesabu mishumaa.

Hepi bethdei tu yuuuuuuuuuuuu...
 
b day 2.jpg
ray05!!

 
Hongera sana kaka,

Haya tutajie mvua ngapi umevuka ili tuhesabu mishumaa.

Hepi bethdei tu yuuuuuuuuuuuu...

Duuuuuuuh! Nyingi nyingi tu,mama aliniambia nisipende kuwatajia watu umri wangu,sio kila mtu wa kumwamini,aliniambia bongo wachawi wengi. Eti Passion Lady na Baba V ,ni vizuri kutaja umri wako hadharani?
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Ray, Mwenyezi Mungua akujaalie uwe na maisha yale unayo strive kuwa nayo pamoja na maisha marefu. Hongera sana kwa kusongesha mwaka.
 
Happy Birthday ray05, Mwenyezi Mungu akujaalie siha njema
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuh! Nyingi nyingi tu,mama aliniambia nisipende kuwatajia watu umri wangu,sio kila mtu wa kumwamini,aliniambia bongo wachawi wengi. Eti Passion Lady na Baba V ,ni vizuri kutaja umri wako hadharani?


Hhahahahahahahahahahahahahaha

Sawa mkuu nimekusoma.

Baba V hawezi kutaja umri, ila ukimwambia an miaka mingi anasema "mimi umri huo sijafika"...
 
Happy birthday ray05
Mungu akujalie miaka mingi zaidi ijayo
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday mkuu ray05.
Mungu akupe maisha marefu yenye amani, upendo, uadilifu, ucha-Mungu, hekima...ili uweze kutimiza malengo yako uliyojiwekea.
HAPPY BIRTHDAY RAY,
NASI TWAKUPENDA PIA
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday mkuu ray05.
Mungu akupe maisha marefu yenye amani, upendo, uadilifu, ucha-Mungu, hekima...ili uweze kutimiza malengo yako uliyojiwekea.
HAPPY BIRTHDAY RAY,
NASI TWAKUPENDA PIA

Amen! Thanx a lot mama naniii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom