Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
"ni miaka kadhaa imepita tangu mama
na baba yako wakulete juu ya uso huu
wa dunia, Shukran za pekee ni kwa
Mwenyezi Mungu kwa uwezo wake
umezaliwa, umekua na leo
tunasherekea siku ya kuzaliwa
kwakwo mpendwa wetu hapa MMU na
CHIT CHAT, happy birthday masai
dada, Mungu akupe umri mrefu
tujumuike
Happy birthday
asante mamii
hata keki siwezi kula sababu ya flue yaani nilipanga nikalale kigamboni huko ama mbali kabisa huko
SEMA MVUA MUDA WOTE YAWEZA NYESHA MADARAJA YAKAKATIKA NIKASHINDWA KURUDI
naogopa rungu la bosi
Waoh... ready for consumption... si ameshaiva? (Joke)
Hapi basidei
God bless yo days
Waoh... ready for consumption... si ameshaiva? (Joke)
yeah but unajua kilichoiva thamani yake iko juu jipapase lol
utafiti kanichachafia nikatangaza mwenyeqe that its my bday lol
yeah but unajua kilichoiva thamani yake iko juu jipapase lol
kitumbua sio andazi mama kaona kanuna,dada kaona kacheka BIBI KAONA KAFINYA
unamaanisha kitumbua ndo kimeiva ama??
Happy birthday masai dada,,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Afya njema na mafanikio tele!
Wee, perishable goods huwa hazilast for that long, nitasubiri iliyoiva ikikaribia kuharibika ninunue kwa bei ya chini ha ha haaa....
Wewe hapo...kwanini tusiite spade spade? Mama ajiandaa na hodi hodi za le bazazi and company
why hukuja pm madame wapishi wawili tenaaaa mhhhhh
Happy Birthday shostitoooo!