Thank you dear..Wishing him/ her long lifeHappy birthday to her, kazaliwa na firstborn wangu maisha marefu kwao
Ukorofi umeanza lini wee min!Mhm hiloo wivu
View attachment 3596904
Kabiiiiiiiiiiiisa mkuu!
Hahaha wala sio mkorofi nazuga mda usonge ,heri ya kuzaliwa mahoUkorofi umeanza lini wee min!
Thank you mamy!birthday blessings gemini gyal!
Nunua kifurushi cha Dakika LEO kupitia Yas App upate dakika 100 za kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Pakua Yas App kupitia link Onelink.toLeo ni siku ya kipekee sana kwako. Ninayo furaha sana kukutakia kheri ya kuzaliwa.
Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu, ni rafiki yangu wa kweli, faraja yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku.
Nakutakia maisha yenye furaha, afya njema, mafanikio na upendo usioisha.
Mungu akupe miaka mingi yenye baraka na kila ndoto yako itimie. Endelea kung'aa daima, kama ulivyo na iwe kheri kwenye siku yako ya kuzaliwa.
You are a star, which shines forever.
View attachment 3596879
Cc: Mahondaw
I know rafiki usiwazeee!Hahaha wala sio mkorofi nazuga mda usonge ,heri ya kuzaliwa maho
Asante kwa taarifa..Leo ni siku ya kipekee sana kwako. Ninayo furaha sana kukutakia kheri ya kuzaliwa.
Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu, ni rafiki yangu wa kweli, faraja yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku.
Nakutakia maisha yenye furaha, afya njema, mafanikio na upendo usioisha.
Mungu akupe miaka mingi yenye baraka na kila ndoto yako itimie. Endelea kung'aa daima, kama ulivyo na iwe kheri kwenye siku yako ya kuzaliwa.
You are a star, which shines forever.
View attachment 3596879
Cc: Mahondaw
Sante sana MD nasubiri zawadi namba ni ilee ileehappy birthday mahondaw