Happy Birthday Madame B

epi besdei Madame B ! Mungu akubariki uishi kuona watoto wa wajukuu zako!
 
Last edited by a moderator:
Bila kusahau cake ya Ukwenhe.....

Naomba laazizi wako aanze kuikata kwanza kabla yako!!!!!

 
Happy birthday mdogo wangu Madame B, ubarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini usile mkuu... Hujui utamu wa boobs eeh???

Ndio maana charminglady sitaki kula,mi ugonjwa wangu ni hapooo!Sasa na leo nimevaa suruali yenye zipu ya plastick basi muda wa keki zipu inaweza kukatika ikawa taabu ukumbini na watu wengine hatujajaliwa vibamia!Loh siji mie kwenye keki!
 
Last edited by a moderator:
tunaomba venue ya shughuri nzima sisi pia ndugu zetu
 
Ndio maana charminglady sitaki kula,mi ugonjwa wangu ni hapooo!Sasa na leo nimevaa suruali yenye zipu ya plastick basi muda wa keki zipu inaweza kukatika ikawa taabu ukumbini na watu wengine hatujajaliwa vibamia!Loh siji mie kwenye keki!

Alaaaa..... Kumbe! Basi pole
 
Last edited by a moderator:
HAPPY BIRTHDAY Madame B, Mungu akujalie afya njema, amani na furaha katika maisha yako yote
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1380442_653437154677080_206341666_n.jpg
    28.6 KB · Views: 38
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…