Happy berhday tou
Happy berthday tou
Happy berthday dear Madame B
Happy berthday to you
Ni muda wa kutafakali sababu ya wewe kuja Dunian!na kumshukuru Mungu kwa kukuwezesha kutimiza miaka kamili!!Uwe nuru ya Mungu popote utakapokuwa,,ukapate kumilik na kutawala!!malengo yako yakapate kutimia Dunia ikapate kukutambua na kukumbuka!!Libarikiwe tumbo la mwanamke aliyekuzaa!!heri ya siku ya kuzaliwa mamy
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums