Madame B kwangu usiwe na shaka yoyote, simuhitaji. So wewe kula raha zako tu na Chimbuvu, ila mkanye asiendekeze ubazazi!
Aaahh wapi! Mimi ni wewe tu Madame B,by the way mimi nakupenda wewe na ninakili hadharani,ur the one for me,mamii kama mwanaume akiwa succesful atazushiwa mengi n now its the time for us to stand together kwa kweli,eg angalia obama alivyozushiwa,lakini wakaelewana na michele,hebu mwangalie kilaza wetu yupo na wyf wake mpaka sasa ingawa anapachikwa majina mengi.naomba mama tuungane pamoja wala usitetereke haya ni maisha mamii Madame B
Nimekuelewa mpenzi wangu Chimbuvu.
Unajua kuna mahala nimeona kama vile unateleza.....
Hilo penzi langu nakuomba usiligawe popote maana twaweza kugombana bila sababu.
Tusimame imara ili akina St. Paka Mweusi na Baba V wasipate la kusema.
Hebu ngoja kwanza,ile safari yako ya Lushoto ndio ulienda kumnuizia huyu Dogo......
Bwana we shem.
Hebu lete hyo zawadi me nimezaliwa November net.
Acha Umbea Msiri wangu....
Nisamehe msiri wangi sirudii tena na ninafuta kauli yangu ya mwanzo..hahahahahah..
Thank u babaa.
Nakumisije wewe?
Come close.
Here i am babygal, nimekumissije?