Happy birthday Madame B

yani mwanafunzi Kaizer wangu acha tu.
Ushachakachuliwa kitaaambo.
Vp lakini Mswano au shikide?

Hujui wakati wa furaha ndio muda mzuri wa kusolve mambo ya kifamilia dogo Kaizer
 
Last edited by a moderator:
ahahhahahhahahha aulize kilicowapata wenzie!pana chezeya mwalimu wa walimu Madame B mi na we tumetoka mbali sana mpenzi siwezi kukufanyia hiyana bana usimsikilize @st paka mweusi

Yani St. Paka Mweusi ananiletea full zengwe hapa.
Wakati anajua wazi kuwa ana siri zangu nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah Chili mtu mzima hatishiwi nyau,muulize Mwanaharakatihuru nilichomfanya madale yeye na wenzake waliokuwa wamevamia eneo langu,,dont play with fire,u hv already expired. Hahahhaahah


Madame B Madame B na mimi nina roho mama, haya hayavumiliki mama.
Na wewe Chimbuvu japo yawezekana ni wa kwetu lakini lazima nikukomeshe. We muulize Arushaone nlichomfanya.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwalimu unafikiri baba anaposema nimekumbuka wanangu ni kweli kawakumbuka wanawe,, au mama yao..??Hii adabu inayoonyeshwa hapa leo najua tu kuna kulichojificha nyuma yake,si kawaida ati hii...

Afu wewe.....
Haya tu.
 
Hahahahah Chili mtu mzima hatishiwi nyau,muulize Mwanaharakatihuru nilichomfanya madale yeye na wenzake waliokuwa wamevamia eneo langu,,dont play with fire,u hv already expired. Hahahhaahah

Ah wapi?!!
Ngoja nitumie token ya ushindi halafu uone.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana.
Tanga nisharudi now niko home Kinondoni.
Karibu.

Halafu Madame B mpenzi nimekuletea vitenge na mabazee toka dubai na nina bonge la zawadi lako la besidei.
Utakuja leo home kuvichukua. Si utaspend night kwangu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…