Happy Birthday Lady Doctor.

Happy Birthday Lady Doctor.

Last edited by a moderator:
mamii usijali... ngoja niingie bandarini nikuchomolee hii kitu mpya kabisa!

mamii hii inaitwa buggati veyron.. naomba iwe yako peke yako, mwanao miss neddy asije akakudhulumu, wala mumeo Arushaone asije akaleta ubabe..
Ntuzu nae aione kwa mbali,, mwallu na ntuzu watapewa zao baadae..
Bugatti-Veyron_Grand_Sport_LOr_Blanc_2011_1600x1200_wallpaper_02.jpg

HAPPY BIRTH DAY MAMA MKWE!

Hapo sawa, tena nitakuita mkwe kwa herufi kubwa ila Mwanyasi asijue
 
Last edited by a moderator:
Hapo sawa, tena nitakuita mkwe kwa herufi kubwa ila Mwanyasi asijue

ma mkwe kwanza shikamoo!

naomba niseme ahsante kwa kunitambua kwamba mimi ndie mmiliki halali wa mwanao miss neddy! kaka yake Ntuzu na dadaye mwallu hawana pingamizi..

sina zaidi mamii... naomba tafadhali ukaribie coffee..!!

flat-white-coffee-at-caravan-kings-cross.jpg

usiogope kuongeza mamii.. wewe ndiwe wa pekee kwangu!!

kingsroadcafe-latte.jpg

ahsante mama mkwe...
 
marahaba ba mkwe na shukrani kwa coffee ila utulie maana we sometime ni kichomiz usije ukampa presha baby wangu miss neddy
 
Last edited by a moderator:
marahaba ba mkwe na shukrani kwa coffee ila utulie maana we sometime ni kichomiz usije ukampa presha baby wangu miss neddy

nimetulia mama... nimetulia kabisa kwa baraka zako!!

naahidi mbele zako, ntamtunza queen miss neddy popote pale... mimi KING Excel naapa!!

ntamvalisha taji la umalikia..
TR10-7.jpg

nami ntakuwa nae popote pale..

ahsante mama mkwe!!!!
 
Last edited by a moderator:

pacha sio tu kutembea
na mtt juu ebooo,haiwezekani
asituchezee kabisa,tutaondosha kifanyio we mwache!!
we Excel wewe khaaaa!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom