Happy Birthday Lady Doctor.

Happy Birthday Lady Doctor.

haiwezekani utembee na dada yangu Passion Lady then uje utembee na mwanangu? Hapana kwakweli hii ni laana.

Arushaone yuko poa kabisa tunafanya mpango wa kutotoa mdogo wake na miss neddy

ma mkwe ma mkwe!! pleaase jamani naongea hadi kikurya mie! kana nke kino?

pata maziwa kidogo basi halafu tuyamalize haya mama!

250px-Baked_milk..jpg
 
Last edited by a moderator:
mama unajua hasira si nzuri kabisa!

haya hebu panda garini ma mkwe twende kidogo tukale burger!

hummer-h3.jpg


ni kigari kidogo tu mama cha shs milioni500... kaa mbele kabisa!

why unipandishe kwenye kigari kidogo tena cha sh. Million 500? Bora hata ungenipandisha kwenye ka maybach exelero
 
why unipandishe kwenye kigari kidogo tena cha sh. Million 500? Bora hata ungenipandisha kwenye ka maybach exelero

mamii si unajua tena mtaani hapa wanga wengi..?

tunatoka tu mara moja.. then jioni, ntakuachii hii uwe dereva kabisaa!!!

mclaren-mp4-picture.jpg


inaitwa mc larren mp4..
 
Last edited by a moderator:
Shemeji hongera! Pamoja na kwamba mumeo kule kwenye nakala (cc) kanitenga , but still yet wewe ndiyo unaeshika No 1 ktk list ya main'laws wangu hapa mjengoni .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom