excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,956
Last edited by a moderator:
shem, nipo nimejaa tele..yaani Lady doctor hanipendi wala ndo maana na Mie nikala ganzi...
mic u 2,3,4 my x!!
mi nipo busy najinywea mtori
afu umenionea wapi Eli79!!
shem, nipo nimejaa tele..yaani Lady doctor hanipendi wala ndo maana na Mie nikala ganzi...
aise nimefichwa humu na my KOKUTONA wangu..
Happy birthday to you Lady doctor, we love you. KOKUTONA ameshatengeneza keki kwa ajili yako.
duuuh!!haya bana we fichwa tu shem langu!!
mi nilikumithiiiii tu!!
shem, nipo nimejaa tele..yaani Lady doctor hanipendi wala ndo maana na Mie nikala ganzi...
aise nimefichwa humu na my KOKUTONA wangu..
Happy birthday to you Lady doctor, we love you. KOKUTONA ameshatengeneza keki kwa ajili yako.
miss neddy baby umemuona mumeo kitu anayofanya kwenye hii familia?
Hunipiti nilivyokumithi, ila najua yote kheri kabisa, naomba niwe 'godfather' wa baby! Hongera kwa Mara nyingine shem langu..
Hivi hii ni hepi nyingine au ndo ileile inaendelea?. kama bado happy birthday na mimi
Nampiga faini madebe 30 ya mbege na ulanzi.
hujapiga banaaaaaaa
pacha sio tu kutembea
na mtt juu ebooo,haiwezekani
asituchezee kabisa,tutaondosha kifanyio we mwache!!
we Excel wewe khaaaa!!
miss neddy baby umemuona mumeo kitu anayofanya kwenye hii familia?
pacha daah sa tufanyaje wakati mtoto wetu ndio amesha fall inlove?
mamii lakini kwanini hata nitaniane na shemeji zangu jamani... Passion Lady ni shemeji yangu, mwallu nae kanitania kidogo, miss neddy kaja juu..
sasa hebu niambieni, niongee na nani kama sio ninyi watu wangu wa karibu?
iam driven crazy now ... why me lakini? miss neddy come and give a final say here...
mwallu step up and say.... what did you do last night.. kwanini umemkasirisha mdogo wako, miss neddy?
mwallu nakuita tena... come here and say...
weweeeeeee mwallu hahusiki kabisaaaaa na hasira yangu mwache my sister kabisaaaaaaa
na Passion Lady sio shemeji yako Excel jamani ni mkweo mdogo huyo
kaah.... Ongeza na debe 10 za gongo
mamii lakini kwanini hata nitaniane na shemeji zangu jamani... Passion Lady ni shemeji yangu, mwallu nae kanitania kidogo, miss neddy kaja juu.. sasa hebu niambieni, niongee na nani kama sio ninyi watu wangu wa karibu? iam driven crazy now ... why me lakini? miss neddy come and give a final say here... mwallu step up and say.... what did you do last night.. kwanini umemkasirisha mdogo wako, miss neddy? mwallu nakuita tena... come here and say...
sielewi kitu hapa Excel mdogo wangu miss neddy nimefanya nini?