Happy Birthday Lady Doctor.

Happy Birthday Lady Doctor.

Happy belated birthday Lady doctor , sikuona sijui nilikua wapi jamani.
 
Last edited by a moderator:

valishaneni pete za uchumba tu
lakini ndoa haifungwi,nitakuja na mwita
kanisani kuweka pingamizi maana talaka sijakupa!!
 
Hunipiti nilivyokumithi, ila najua yote kheri kabisa, naomba niwe 'godfather' wa baby! Hongera kwa Mara nyingine shem langu..

usijali kuhusu kua godfather hilo limepita!!
afu ukija mjini niletee ndisi mshare ya kitawa,ndizi ngombe ya mtori
na mzuzu kwa ajili ya wageni wapate kitafunwa,mkate gharama!!
 

usijali kuhusu kua godfather hilo limepita!!
afu ukija mjini niletee ndisi mshare ya kitawa,ndizi ngombe ya mtori
na mzuzu kwa ajili ya wageni wapate kitafunwa,mkate gharama!!
...haha, usijali shem langu..
kwani shamba hamna ndizi shem, mpaka nilete toka mjini?
 
View attachment 142857
daisy-birthday-cake_~k8236551.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom