Happy Birthday Lady Doctor.

Happy Birthday Lady Doctor.


Oh! thank you and thanks to everyone else who wished me a happy birthday...!

Sina mengi ya kusema ila NAWAPENDA PIA SANA NA MUNGU AWABARIKI!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
happy birthday mama mkwe!!!!!!!!!

hii siku kweli muhimu... hasa kwangu pia! mamii miss neddy, kuja huku tumlishe mama keki eenh!!

GFB_13_SCA6AMERBTY_CH1837_W1_PF


mama mkwe, mama wa heshima kuu.. Lady doctor! kwa heshima na taadhima.. naomba nichukue nafasi hii kukutakia maisha mema, maisha marefu yenye baraka za kila aina.. nina mengi mama!

naomba kwa leo niishie hapa.. Excel muongeaji kweli .. !!!!!

asante sana Excel

enhe! Hebu niambie mwanangu umemuoa lini? Yaani mi kusafiri kidogo tu umeanza kuniharibia mtoto?
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor njoo tubonge,njoo tubonge,nitakupata wapi,ungelikuwa na facebuku ama twitter lakii sura yako umeficha,,oooooohhhh ohhhhh happy birthday
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom