Nakwambia mimi sijui nimeokotwa hata sijielewielewi. Siijui hata familia yangu ndio unisaidie kuitafuta.
habari za asubuhi mkuu?
amu ni dada yangu hujui?Nakukubali kwa kuzichungulia fursa nje ya box!
Kamuulize jogoo...
najua mkuu lady doctor ni mdau maarufu sana hapa jukwaani,
umemcheleweshea haki yake kwa wanajamvi.
pia sijakuona hata ukiwaita marafiki zake waje wam'wish kama yeye anavyofanyaga..
ngoja mi nimwite mpenzi wangu hapa aje amtakie maisha marefu.
sweety miss chagga come this way leo ni birthday ya lady doctor
hahahahahaaaaa.....!!!. Heaven on Earth anakupa hi.Shem mambo zako!
Afu unajua nakuoneaga wivu unavyojua kujikinyonga rangi.
hahahahahaaaaa.....!!!. Heaven on Earth anakupa hi.
Kamuulize jogoo...
hahahahahaaaaa.....!!!. Heaven on Earth anakupa hi.
morning mummy.
hahahahahaaaaa.....!!!. Heaven on Earth anakupa hi.
Hahahaaaaaaa,nimecheka bila kutekenywa
morning mummy.
HBD Lady doctor. You know where to find me. Uje uchukue zawadi yako nzuuuriiiii.