Kabisa mkuu au wakubaliane wawe nae wote watatu kwa zamu wanapeana zamu tuu siku ziko saba kila mtu apate siku zake mbili na siku moja iliyobaki bibie apumzike
Ahsante sana sana.....ulikuwa wapi ndugu.
All in all thank you
Tutor B umesahau siri ya mtungi aijua kata bana huwezi jua kuna nini wanachogombea hapokwani ana nini hadi kumgawana kwa zamu? KILA M2 NA DEM WAKE - By Mr. Nice!
Vin Diesel unanionea sana na muda wa kujitetea umefika
Usimsikilize Vin Diesel my dear KOKUTONA ana yake huyo na mimi hapa nasubiri ngumi tuu kutoka kwa grafani11 na figganigga kumhusu Heaven on earth
Mkuu Tutor B kuna watu wanamgombea Heaven on earth hapa yumo Vin Diesel na mwenzake figganigga na kamtu kamoja hivi kanaitwa grafani11 sasa kama hapo sio ngumi zitafumuka ni nini
Mkuu Mr Rocky...wewe unlinifitini kwa KOKUTONA mpaka tukaachana...tafadhali naomba uniachie Heaven on earth wangu tule mema ya nchi...
Hawa vijana grafani11 na figganigga wala hawanitishi...
Mkuu naomba usichanganye mambo tafadhali.. Heaven on earth ni mke wangu halali kabisa wa ndoa...hawa vijana figganigga na grafani11 wanajaribu kumrubuni tu
jamani Vin.......siku hizi umekuwa msemaji wangu!!!!!!!!
njoo tupashe Kiporo kwanza
Mimi sisemi tena ngoja watoke huko na ma-AK 47 yao sijui kama hapa patakalika aise maana vijana wabaya sana hao yaani grafani11 na figganigga
Mie watanikuta na upinde na nchale.....
hahahahahah haya bana ila ile mishale ya wale jamaa ni mibaya na sumu yake ni kali mbaya mkuu Vin Diesel yaani dakika tano unakuwa ushakuwa marehem
Mkuu naomba usichanganye mambo tafadhali.. Heaven on earth ni mke wangu halali kabisa wa ndoa...hawa vijana figganigga na grafani11 wanajaribu kumrubuni tu
Mie watanikuta na upinde na nchale.....
Vin jamani mbona hivyo tena!!!!!!!!!!
Vin jamani mbona hivyo tena!!!!!!!!!!