Namkubali huyu Dada, anauwezo wa kuwa upande anautaka na wafuasi kibao akapata. Nakumbuka kabla ya hapo alikuwa upande wa ccm, kwa sasa amegeuka mwiba kwa ccm.Ishini naye kwa akili na uangalifu. Yeye uzalendo sio mtu au chama, bali taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.