Happy birthday @Katavi...

Kwa niaba ya mke wangu Amyner ,mpenzi wangu Kipipi (Mpango wakando), My Ex Small house Remmy ,My Ex Kipoozeo BADILI TABIA napenda kukutakia heri katika maisha yako...Mungu awe ngao yako katika kuyabariki na kukuongoza kutenda mema ukiamini dunia ni wapitaji.
Mungu akupe maisha ya furaha na upendo daima!
Happy Birthday Katavi
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya mama yangu charminglady na mtalaka wangu Mamndenyi ambaye leo kaweka kando tofauti zetu na kuja kunipa kampani, nakushukuru sana kaka Erickb52 kwa baraka zako
 
Last edited by a moderator:

Copy: ODM Asprin
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaa..... We mkare..... Afu mekumissijeeee???
 
Last edited by a moderator:
Katavi halafu wewe kwenda zako huko hata kama ndo umezaliwa
ulinipaje talaka kabla ya ndoa?
Hahahaah! Jamani unanikana leo....Haya ngoja kwanza nipokee yangu kwanza.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…