happy birthday Kambaku

Nahisi ni utamaduni wa kizungu wenye element za kishetani, mimi nina imani na Ukristu japo sio sana, biblia haikumbatii sana maadhimisho ya siku hii kama ilivyokuwa kwa watu wa mataifa. Ni matukio machache sana ambamo kulikuwa na maadhimisho ya kuzaliwa kwa watu na mara nyingi yaliisha kwa majanga mf. kufa kwa Yohana Mbatizaji.

As Africanist pia sioni umuhimu wa kuyapa uzito sana maadhimisho haya kwa kuwa sio yetu saana adn we did not bother, na hata walioanza kufanya bethidei kitambo hicho huku bongo walikuwa ni watoto wa lishua walioathirika na uzungu. So thats my point...
kwanini kiongozi tena?
 
binamu nyama ya hamu.......thoooory Mwali.....hepibesdei kaka kambaku,Allah akulinde uishi marefu mpaka vitukuu viwe vinakuotesha jua
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Kambaku Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye neema na baraka. Akujalie yale yote uombayo uweze kuyapata kweli.
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Kambaku Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye neema na baraka. Akujalie yale yote uombayo uweze kuyapata kweli.
Mkubwa hapa umegonga ikulu kabisa, nafarijika sana na maombi yako haya! ni matumaini yangu Mwenyezi Mungu wa Rehema atanijalia zaidi na zaidi
 
Hii ya kumbadili binamu kuwa 'kaka' kwa lazima alikuwa hajanambia
So nimeona nijitambulishe mwenyewe.


Lazima kuna moja au mbili hajakwambia! Yaani hiyo ni Laaaaaaaaaazima hiyo!
 
Inshaallah Mungu amzidishie miongo!
Afu Dada hapo juu ktk ulio wamention mbona kuna wengine wanakaribia kupiga mwaka hawapo Jf? Au pengine wapo but kwa Id's m'badala au?
 
Happy birthday..nimetamani kekii..!!
 
Dah! leo nilishinda siasani muda wote!!

Happy Birthday Kambaku, may GOD bless you.

Mwali thank you for letting us know it.
 
Last edited by a moderator:
HBD Kambaku, Mungu akujaalie afya na uzima tele kidume
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday..nimetamani kekii..!!
Wala usikonde kabisa, Mwali yupo kwenye hatua za mwisho kabisa za kufanya mkutaniko fulani, lazima 'maji ya ilala' yahusike siku ya leo, tunafikiria kuitupia weekend ijayo ila oganaiza mkuu ni Mwali, cheki nae tu
 
Wala usikonde kabisa, Mwali yupo kwenye hatua za mwisho kabisa za kufanya mkutaniko fulani, lazima 'maji ya ilala' yahusike siku ya leo, tunafikiria kuitupia weekend ijayo ila oganaiza mkuu ni Mwali, cheki nae tu
Pouwa naisubiri kwa hamu kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…