Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
yaani huyu mdada huwa anapotea...na si ajabu hata tusimwone kabisa kwa huu uzi....
Kabakabana hebu kuja side hii mazeee, tukupe mahug na makisses ya Birthday...
Happy bday shosti. Hivi umepotekea wapi? Unajua your hazbend excellent siku hizi amekuwa Mute? Ngoja party iishe nikupe umbea.
Aisee!
HBD Kabakabana. Haka kajukuu kamepotelea wapi jamani?
Nakamisi mpaka najisikia kuRIP. Nicas Mtei, ukikaona hebu kaambie kanidipu ili nikapigie.
Nadhani leo katakuja.
Ndo naendelea kukasaka kwa udi na uvumba.
Miaka kadhaa iliyopita uliletwa hapa ulimwenguni. Mungu alikuwa na kusudi lake kukuleta ulimwenguni. Hakika inafurahsha na kutia moyo. Sasa ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kukuteua kuendelea kuvuta pumzi. Mungu ana kusudi. Ni vyema ukamtumikia kwa wakati wote.. Mungu aendelee kukupa umri mrefu katika ulimwengu huu.. Happy Birthday my sister Kabakabana..
I hope kamati ya sherehe iliyo chini ya Uenyekiti wa dada AshaDii itapanga mpango wa sherehe. Mc wetu ni kijana mla ndyofu Erickb52..
Happy Birthday Kabakabana
Happy bday shosti. Hivi umepotekea wapi? Unajua your hazbend excellent siku hizi amekuwa Mute? Ngoja party iishe nikupe umbea.
yaani huyu mdada huwa anapotea...na si ajabu hata tusimwone kabisa kwa huu uzi....
Kabakabana hebu kuja side hii mazeee, tukupe mahug na makisses ya Birthday...
Aisee!
HBD Kabakabana. Haka kajukuu kamepotelea wapi jamani?
Nakamisi mpaka najisikia kuRIP. Nicas Mtei, ukikaona hebu kaambie kanidipu ili nikapigie.
Happy Birthday Kaby!
Cake wapi??