Happy Birthday Kabakabana.. Hongera kwa kupunguza siku za kuishi.

Thank u so much My bro Nicas, In the middle of the dark u have brought the light again.Thanks,

waveja kulumba Kabakabana. Nimefurah sana kukuona mahali hapa.. Usiadimike sana jamani. Babu Asprin naye anataka ku R.I.P kisa hajakutia machoni.
 
Last edited by a moderator:
Nipo babu,,vipi za kwako?unaendeleaje na kukagua wajukuu?

Waooow! Hatimaye umefufuka kama ulivyosema.

Leo tuko kwenye bethdei bana, mambo ya ukaguzi yanatokea wapi?

Waeza mwambia babu kwanini umempotezea namna hii?
 
Waooow! Hatimaye umefufuka kama ulivyosema.

Leo tuko kwenye bethdei bana, mambo ya ukaguzi yanatokea wapi?

Waeza mwambia babu kwanini umempotezea namna hii?

babu wewe ndo umenikimbia tena baada tu ya ukaguzi hata sijui uligundua nini
 
Back
Top Bottom