Happy Birthday Kabakabana.. Hongera kwa kupunguza siku za kuishi.

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,084
Miaka kadhaa iliyopita uliletwa hapa ulimwenguni. Mungu alikuwa na kusudi lake kukuleta ulimwenguni. Hakika inafurahsha na kutia moyo. Sasa ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kukuteua kuendelea kuvuta pumzi. Mungu ana kusudi. Ni vyema ukamtumikia kwa wakati wote.. Mungu aendelee kukupa umri mrefu katika ulimwengu huu.. Happy Birthday my sister Kabakabana..

happy_birthday1.png

I hope kamati ya sherehe iliyo chini ya Uenyekiti wa dada AshaDii itapanga mpango wa sherehe. Mc wetu ni kijana mla ndyofu Erickb52..
 
Last edited by a moderator:
Happy bday shosti. Hivi umepotekea wapi? Unajua your hazbend excellent siku hizi amekuwa Mute? Ngoja party iishe nikupe umbea.
 
Last edited by a moderator:
yaani huyu mdada huwa anapotea...na si ajabu hata tusimwone kabisa kwa huu uzi....
Kabakabana hebu kuja side hii mazeee, tukupe mahug na makisses ya Birthday...
 
Last edited by a moderator:
Aisee!

HBD Kabakabana. Haka kajukuu kamepotelea wapi jamani?

Nakamisi mpaka najisikia kuRIP. Nicas Mtei, ukikaona hebu kaambie kanidipu ili nikapigie.
 
Last edited by a moderator:
yaani huyu mdada huwa anapotea...na si ajabu hata tusimwone kabisa kwa huu uzi....
Kabakabana hebu kuja side hii mazeee, tukupe mahug na makisses ya Birthday...

Nadhani leo katakuja.
 
Last edited by a moderator:
Mc cmamisha mziki kuna fujo ina endelea nyama ya speaker ni zinduna na cacico wana zichapa ita kamati ya ulizi ije kuzuia fujoii tuendalee na gambe
 
Miaka kadhaa iliyopita uliletwa hapa ulimwenguni. Mungu alikuwa na kusudi lake kukuleta ulimwenguni. Hakika inafurahsha na kutia moyo. Sasa ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kukuteua kuendelea kuvuta pumzi. Mungu ana kusudi. Ni vyema ukamtumikia kwa wakati wote.. Mungu aendelee kukupa umri mrefu katika ulimwengu huu.. Happy Birthday my sister Kabakabana..

happy_birthday1.png

I hope kamati ya sherehe iliyo chini ya Uenyekiti wa dada AshaDii itapanga mpango wa sherehe. Mc wetu ni kijana mla ndyofu Erickb52..

Thank u so much My bro Nicas, In the middle of the dark u have brought the light again.Thanks,
 
Last edited by a moderator:
Happy bday shosti. Hivi umepotekea wapi? Unajua your hazbend excellent siku hizi amekuwa Mute? Ngoja party iishe nikupe umbea.

hahahaha mke mwenza hebu nipe umbea sasa hivi naweza kuumwa ukichelewesha
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom