hakika humu kuna watu wana vichwa makini...yaani birth date was 16th and today i do mark 16th days...thanks DA
husninyo hujambo...asante mwaya...umejificha sana,tumekuja mjengoni umejificha
Inka nimechelewa sana kukupongeza lakini nafurahishwa sana na zoezi lako as it appears kwenye avatar - hope hilo zoezi litakuongezea maisha -watalaam wanasema mazoezi ni afya. Happy Birthday!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Lovelly day...my wish to all other members who were born on this date
Mkuu naitafuta miong minne