mbele ya husninyo tena? Ujue mimi ni mgeni humu jf na katika watu walionipokea vizuri ni huyu dada bwana yeye na ashadii.preta,lizzy na wengineo i wish her all the happiness in the world
nooo nimesemea wadada nyie tena ndo usiseme nyie ni familia yangu sana tu nawapenda sana mjuebebii unataka kusema kina siye hatujakupokea vizuri eeh......ila akikupokea sweetie ashadii ndo mimi ivo....lol (sasa sijui kwa odm)
Kwa kuwa ni husninyo....kwa kuwa mi ni freelance....
kwa kuwa ze pope sio mtu ya shida mingi.....
Nipangiwe kazi yoyote....ili mradi iwe ngumu....
HAPPY BIRTHDAY HUSNINYO!
Orayt........mwenyekiti naomba kutoa hoja.........nooo nimesemea wadada nyie tena ndo usiseme nyie ni familia yangu sana tu. Sanasasa nampenda zaidi ODM mjue
Nimepaona hommie, cheki post #28. Nimeifail hapo hiyo yuziful posti.Ngoja nimuulizie ODM kama amepaona apo. nafurahi kitu kimoja tu kuwa sasa hivi umekuwa kakubwa kubwa lol
Aisee...wewe ndugu yangu utakuwa na kazi kuchanja kuni, kuna shoka lipo tayari, na kuzifikisha jikoni. of course kutakuwa na biya along the way...ndo pekee unaruhusiwa kunywa kabla ya mida yenyewe lol
(aisee hizi pande zimependeza sana muulizie Bigi)
aiyaaa red ile sio mimi bwana utaleta fumanizi hapa?????????????nimepaona hommie, cheki post #28. Nimeifail hapo hiyo yuziful posti.
Bebii unanisemesha mie au birthday girl?aiyaaa red ile sio mimi bwana utaleta fumanizi hapa?????????????
haya bwana sikuwezi uporoto yupo wapi?bebii unanisemesha mie au birthday girl?
In this special date, some years back, uliletwa hapa duniani
Na sote tunafurahia uwepo wako hapa duniani na zaidi Jamvini
Hivyo tuna sababu, nia ya dhati na tashwishi ya kuwa nawe leo
Siku hii maalumu kusheherekea siku yako ya kuzaliwa!
Happy Birthday Husninyo,,,,,,tunakutakia mafanikio na maisha mema leo na siku zijazo
View attachment 39153View attachment 39154
(sweetie kama kawaida, yupo busy na mambo ya jikoni atakuja hapa ukumbini muda sio mrefu. Babu ODM, King'asti, Sweetlady, NN, Kloro,Uporoto, Apollo, na The Boss ndo kamati mpango mzima. TF ni mlinzi leo