Aamin dada Mungu Atapokea dua yako na kila kitu kitaenda as you wish, InshaallahTena wajue tu halaal hasa na kuachana kwetu labda Manani apende, ilikua kama mzaha lakini huku tulofika kaka Mungu amueke Archduke
unanitafutia matatizo babe ntakuambia just nikumbusheHahahahha babe nataman unambie now now, hakuna alieyibiwa babe nakupenda peke yako na moyoni mwangu uko peke yako labda ngeli zako ha ha ha ha
Kero la mpenzi kama kofi lake hua haliumi sister😀😀😀Inshaallah my kaka mwambie asinikere tu
me nakuchora tu we ndo unawaza mambo yako hayona ile sauti yako hahahahaa waza ujinga
Matatizo yako ni yangu, shida zako n zetu sote furaha yangu n vicheko kwetu wpte wawili babe mimi ni machozi na wewe mkono kunifuta kila napolia wewe n mto mm ni kichwa niegemapo kila usiku baada ya kaz nyibgi na mambo mengi ya kutwa nzima we are in this together, hauko peke yako kila utakachoface naface na mm wew ni mimi mimi ni wewe love you baba balqis!unanitafutia matatizo babe ntakuambia just nikumbushe
shemeji meme napendwa yani ni hivi nimependa nilipopendwa naona dunia yangu etiAamin dada Mungu Atapokea dua yako na kila kitu kitaenda as you wish, Inshaallah
Hahahahaaaa, raha ya kupendwa ni khabari nyingine shemejishemeji meme napendwa yani ni hivi nimependa nilipopendwa naona dunia yangu eti
love more mama yake balqis, mwanamke wa maisha yanguMatatizo yako ni yangu, shida zako n zetu sote furaha yangu n vicheko kwetu wpte wawili babe mimi ni machozi na wewe mkono kunifuta kila napolia wewe n mto mm ni kichwa niegemapo kila usiku baada ya kaz nyibgi na mambo mengi ya kutwa nzima we are in this together, hauko peke yako kila utakachoface naface na mm wew ni mimi mimi ni wewe love you baba balqis!