Hongera mjomba, kwa leo 7th july kutimiza umri wa miaka 33.ni umri wa kijana wa makamu na inabidi sasa uanze kuenenda kama umri wako, what do i mean by this?
Namaanisha sasa uache ile tabia ya kuropoka hovyo bungeni na kutumiwa kama afisa mipasho wa chama.
Kadhalika ,tumeshuhudia ukikiongoza chama chako kupoteza kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki, kana kwamba ukistaajabu ya musa, majuzi tena bungeni umekurupuka na kukishutumu chadema kuhusika na mgomo wa madaktari na ukashindwa kuthibitisha:
Ni matarajio yangu kuwa kwa umri uliofikia leo, utajirekebisha uropokaji na kuanza kuishi kisomi na ki-kijana wa makamo!! nakutakia afya njema na mungu akujaalie busara kadri unavoongezeka umri!!
Happy birthday Mwigulu Nchemba
Happy birthday Mwigulu, kiboko ya Chadema.
ulimi unapata kigugumizi kutamka 'happy'
Happy birthday Mwigulu, kiboko ya Chadema.
Happy birthday Mwigulu, kiboko ya Chadema.
ritz ni janga la kitaifa
katika cv yake iliyopo bungeni , inaonyesha kazaliwa 7th july 1978, so ni miaka 33 mkuu
Tikiti maji!!!
Kwetu yapo mengi sana tunawapa nguruwe!
katika cv yake iliyopo bungeni , inaonyesha kazaliwa 7th july 1978, so ni miaka 33 mkuu
Hivi hujajua mpaka leo kuwa huyo jamaa yako ana "Behavioral Disoders"? Na wewe kama zuzu unamsifia badala ya kumsaidia apate huduma stahili.Kweli kwa wajinga kama nyie hakuna dawa
Mwigulu ni JEMBEEEEE pale mjengoni kila akisimama utasikia CDM wote wanamtizama na kusikitika utadhani kuna msiba, kumbe jamaa haogopi kuwaambia ukweli. Mwigulu ni sawa sawa na CDM wote bungeni
Kama sio kulindwa na mafisadi anaowatumikia, Mwigulu alitakiwa awe amepoteza ubunge zamani sana. Hata wewe mwenyewe ni shahidi mkubwa kwa hilo. Kwa aliyoyafanya na kuonesha Igunga, Arumeru na bungeni hapa juzi, huhitaji shahidi kuthibitisha, lakini kwa kuwa mafisadi wananufaika na hii "behavioral disoder" ya huyu jamaa yako, wanaishia kumpamba na kumsifu kama unavyofanya wewe bila hata aibu au huruma kwake!Huo ugonjwa ndio unamtafuna Lema mpaka kapoteza ubunge.